CHUO KIKUU ARDHI CHATOA ELIMU KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI DAR ES SALAAM

CHUO KIKUU ARDHI CHATOA ELIMU KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI DAR ES SALAAM

Chuo Kikuu Ardhi kwa kushirikiana kitengo cha mahusiano na habari cha Chuo Kikuu Ardhi wamefanya maonyesho katika shule ya sekondari Tambaza jijini Dar es salaam kwa lengo la kuwapa muongozo namna ya kujiunga na masomo ya elimu ya juu na ufaulu wake.Maonesho hayo yalishirikisha shule mbalimbali zilizokaribu kwa kuwaalika wanafunzi hao watembelee mabanda hayo na kupata maelezo stahiki yanayohusu Chuo Kikuu Ardhi kwa Ujumla wake.Maonesho hayo yalifanyika siku ya jumamosi ya tarehe 26/05/2018.


Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Reginald Chetto akiwapa maelezo wanafunzi wa shule ya Sekondari Zanaki waliposhiriki programu hiyo.

Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Gervas Jonas akiwapa maelezo wanafunzi wa Sekondari walipotembelea moja ya banda la ARU kujionea na kupata ufafanuzi wa programu.

 

Msaidizi wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Mbokani Gama akiwapa maelezo wanafunzi wa shule ya Sekondari Azania waliposhiriki maonesho.

 

 

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Bi. Hadija Mualid akiwa katika ya wanafunzi akiwaleza jambo wanafunzi hao.

 
 

Wanafunzi wakisoma vipeperushi

 

 
 


 
 
 
 

 

Continue reading CHUO KIKUU ARDHI CHATOA ELIMU KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI DAR ES SALAAM

WANAFUNZI WA CHUO KIKUU ARDHI KUSHIRIKI WARSHA JIJINI DODOMA

WANAFUNZI WA CHUO KIKUU ARDHI KUSHIRIKI WARSHA JIJINI DODOMA

Baadhi ya wanafunzi kutoka Skuli ya Ubunifu Majengo,Usimamizi na Uchumi Ujenzi wa Chuo Kikuu Ardhi wameshiriki katika warsha ya elimu endelevu ya wataalamu wa ubunifu majengo na wakadariaji wa majenzi iliyo iliyoandaliwa na bodi ya usanifu majengo na ukadiriaji majenzi (AQRB) katika ukumbi wa Treasure square Dodoma,Tarehe 18-19 Mei 2018,Warsha hii ilizinduliwa na Mhe. Majaliwa Kassim Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Tanzania.

Continue reading WANAFUNZI WA CHUO KIKUU ARDHI KUSHIRIKI WARSHA JIJINI DODOMA

ARDHI UNIVERSITY STAKEHOLDER’S WORKSHOP CURRICULA REVIEW

ARDHI UNIVERSITY STAKEHOLDER’S WORKSHOP CURRICULA REVIEW

Ardhi University  held its  stakeholder’s workshop on curricula review, the essence of these workshops is to discuss the draft and provide necessary inputs that will contribute to the improvement of the curricula based on requirements(stakeholders),markets demands and national development needs.The following are Ardhi University Schools (IHSS, SEST and SSPSS) which held their workshop on Friday 11st, Tuesday 15th and Wednesday 16th at DMTC Seminar Room.

Continue reading ARDHI UNIVERSITY STAKEHOLDER’S WORKSHOP CURRICULA REVIEW

ARDHI UNIVERSITY -Sida ANNUAL PLAN MEETING

ARDHI UNIVERSITY -Sida  ANNUAL PLAN MEETING

ARU- Sida Cooperation Annual Plan Meeting for a project, Strengthening Capacity on Research and Innovation for Sustainable Land and Environmental Management for inclusive Development (STEM-ID), Participant were Sida Delegation, ARU Project management Committee Members ,Sub-Project Coordinating and PHD students.The Meeting held on 15/05/2018 at Council Chamber room.

IMG_0293

Coordinator Research and Innovation Sida- Dr. Inger Lundgren

Continue reading ARDHI UNIVERSITY -Sida ANNUAL PLAN MEETING

MAKABIDHIANO YA UONGOZI MPYA WA SERIKALI YA WANAFUNZI (ARUSO) CHUO KIKUU ARDHI

MAKABIDHIANO YA UONGOZI MPYA WA SERIKALI YA WANAFUNZI (ARUSO) CHUO KIKUU ARDHI.

Serikali ya wanafunzi (ARUSO) Chuo Kikuu Ardhi ya mwaka 2017/2018 imekabidhi madaraka kwa uongozi mpya ulioingia madarakani 2018/2019 Chuoni hapo mnamo tarehe 8/5/2018.Hafla hiyo imehudhuriwa na Uongozi wa Chuo Kikuu Ardhi kwa kuongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Evaristo. J. Liwa katika ukumbi wa IHSS.

Continue reading MAKABIDHIANO YA UONGOZI MPYA WA SERIKALI YA WANAFUNZI (ARUSO) CHUO KIKUU ARDHI

MSANIFU MKONGWE AACHA URITHI WA MAARIFA CHUO KIKUU ARDHI DAR ES SALAAM

MSANIFU MKONGWE AACHA URITHI WA MAARIFA CHUO KIKUU ARDHI DAR ES SALAAM

https://3.bp.blogspot.com/-bNZzH_TsFsk/WtsPNCaq_vI/AAAAAAABFuA/yCq0ZuN2A74W2iu_1kU2Rom5fwNKVGBrwCLcBGAs/s1600/MOJA.JPGMkuu wa Skuli ya Ubunifu Majengo, Usimamizi na Uchumi Ujenzi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Livin Mosha akipokea sehemu ya vitabu vya usanifu majengo na ujenzi kutoka kwa Msanifu Majengo Mkongwe Anthony Almeida (wa pili kushoto) alivyokuwa akitumia enzi za kufanya kazi. Hafla hiyo iliyofanyika nyumbani kwake jijini Dar es Salaam Aprili mwishoni mwa wiki 2018. Pamoja nao (kushoto) ni Mkuu wa Idara ya Usanifu Majengo wa ARU, Dkt. Ombeni Swai na Mkuu wa Idara ya Mazingira ya Ndani ya Nyumba wa ARU, Dkt. Shubira Kalugila. Continue reading MSANIFU MKONGWE AACHA URITHI WA MAARIFA CHUO KIKUU ARDHI DAR ES SALAAM

SIGNING OF MEMORANDAM OF UNDERSTSNDING BETWEEN ARDHI UNIVERSITY AND ZHENGZHOU UNIVERSITY OF LIGHT INDUSTRY, HENAN, P.R.CHINA

SIGNING OF MEMORANDAM OF UNDERSTSNDING BETWEEN ARDHI UNIVERSITY AND ZHENGZHOU UNIVERSITY OF LIGHT INDUSTRY, HENAN, P.R.CHINA.

Ardhi University signing the MoU with Zhengzhou University of light industry China on student exchange agreement aiming at  promoting  international understanding and to enhance educational opportunities to students.The meeting held at Ardhi University on 10th April,2018 at Council chamber room.

DSC_0309

Prof. E.Liwa The Vice Chancellor Ardhi University and The Vice President  ZZULI University LI Shiying signing the MoU.

Continue reading SIGNING OF MEMORANDAM OF UNDERSTSNDING BETWEEN ARDHI UNIVERSITY AND ZHENGZHOU UNIVERSITY OF LIGHT INDUSTRY, HENAN, P.R.CHINA

TRAINING ON INTERNAL AUDIT FUNCTION

TRAINING ON INTERNAL AUDIT FUNCTION

Management of Ardhi University last financial year had put in place new leadership that shall perform its work for the coming triennium as per requirement of University Charter.  Due to that the office of ARU Internal Audit prepare a one day training on Roles of Internal Audit function, University Risk Framework and Risks Register and ARU Financial Regulations held at DMTC training center on 5th April, 2018. The training was regarding school Deans, Directors and Heads of Departments.

DSC_0203Deputy Vice Chancellor – Academic Affairs Prof. Gabriel Kassenga giving a welcoming remarks on behalf of the Vice Chancellor. Continue reading TRAINING ON INTERNAL AUDIT FUNCTION

SEMINA JUU YA UGONJWA WA KISUKARI KWA WAFANYAKAZI WA CHUO KIKUU ARDHI.

SEMINA JUU YA UGONJWA WA KISUKARI KWA WAFANYAKAZI WA CHUO KIKUU ARDHI.

Kitengo cha Zanahani ya Chuo Kikuu Ardhi waliandaa semina ya siku moja juu ya ugonjwa wa kisukari na upimaji kwa wafanyakazi wa Chuo kwa lengo la kuwapa uelewa zaidi ili waweze kujikinga na kuepuka ugonjwa wa kisukari. Semina hiyo ilifanyika siku ya jumatano ya tarehe 21/03/2018 katika ukumbi wa IHSS, baadhi ya wafanyakazi waliweza kuhudhuria pamoja na Makamu Mkuu wa Chuo Prof. E.J. Liwa.

Continue reading SEMINA JUU YA UGONJWA WA KISUKARI KWA WAFANYAKAZI WA CHUO KIKUU ARDHI.

TRAINING ON THE APPLICATION OF OPEN SOURCE GIS SOFTWARE AT ARDHI UNIVERSITY.

TRAINING ON THE APPLICATION OF OPEN SOURCE GIS SOFTWARE AT ARDHI UNIVERSITY.

Ardhi University under the Centre for Information and Communication Technology (CICT) conducted training on the application of Open Source GIS Software (QGIS) in revenue collection and management. 75 Participants of the training were staff of the Ministry of Lands Housing and Human Settlements Development (MLHHSD), Kinondoni Municipal Council , Ubungo Municipal Council and other staff who will be working in the project on Integrated Land Management Information System (ILMIS).

The main object of the course was to enable the staff to use open source GIS (QGIS) software in collection and management of revenue related data, which will be used in the ILMIS system.

The training was conducted at Ardhi University for three weeks from 19th March 2018 to 7th April 2018 .

DSC_0335

Participants of the training during  the session.

Continue reading TRAINING ON THE APPLICATION OF OPEN SOURCE GIS SOFTWARE AT ARDHI UNIVERSITY.