SEMINA JUU YA UGONJWA WA KISUKARI KWA WAFANYAKAZI WA CHUO KIKUU ARDHI.

SEMINA JUU YA UGONJWA WA KISUKARI KWA WAFANYAKAZI WA CHUO KIKUU ARDHI.

Kitengo cha Zanahani ya Chuo Kikuu Ardhi waliandaa semina ya siku moja juu ya ugonjwa wa kisukari na upimaji kwa wafanyakazi wa Chuo kwa lengo la kuwapa uelewa zaidi ili waweze kujikinga na kuepuka ugonjwa wa kisukari. Semina hiyo ilifanyika siku ya jumatano ya tarehe 21/03/2018 katika ukumbi wa IHSS, baadhi ya wafanyakazi waliweza kuhudhuria pamoja na Makamu Mkuu wa Chuo Prof. E.J. Liwa.

DSC_0113

Mkuu wa Kitengo cha Zahanati ya Chuo Kikuu Ardhi Dkt. E. Chubwa akiwakaribisha wafanyakazi katika semina hiyo ya Kisukari.

DSC_0124

Bi. Lucy Johnbosco aliyekuwa muelimishaji wa semina ya ugonjwa wa kisukari akijiandaa kutoa mafunzo hayo.

DSC_0135

Baadhi ya wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi wakisikiliza mafunzo kwa umakini.

DSC_0142

Washiriki wakiendelea kufuwatilia mafunzo.

DSC_0137

Washiriki.

DSC_0167

Mmoja ya mfanyakazi akipima kisukari.

DSC_0143

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *