ZAIDI YA WATU 50 WASHIRIKI MAFUNZO YA KUJENGA UWEZO WA UTAYARI WAKATI WA DHARURA/MAAFA

ZAIDI YA WATU 50 WASHIRIKI MAFUNZO YA KUJENGA UWEZO WA UTAYARI WAKATI WA DHARURA/MAAFA

Chuo Kikuu Ardhi kwa kushirikiana na REDCROSS waliandaa mafunzo ya kujenga uwezo wa utayari wakati wa dharura/maafa yaliofanyika Chuo Kikuu Ardhi kwa muda wa siku tano kuanzia tarehe 12 mpaka 16 Machi, 2018.

DSC_0038Bi. Stella Marealle Meneja Uhamasishaji TRCS akitoa mada siku ya kwanza ya mafunzo ya kujenga uwezo wa utayari wakati wa dharura/maafa yaliofanyika Chuo Kikuu Ardhi.

DSC_0035Washiriki wa mafunzo ya kujenga uwezo wa utayari wakati wa dharura/maafa yaliofanyika Chuo Kikuu Ardhi.

DSC_0032Washiriki wakifuatilia mada iliotolewa na meneja uhamasishaji kutoka TRCS Bi. Stella Marealle.

IMG_0664Naibu Makamu Mkuu wa Chuo – Mipango, Fedha na Utawala Prof. Robert Kiunsi akimkabidhi mmoja kati ya washiriki waliohudhuria mafunzo ya kujenga uwezo wa utayari wakati wa dharura/maafa.

IMG_0690Naibu Makamu Mkuu wa Chuo – Mipango, Fedha na Utawala, wawezeshaji na washiriki wa mafunzo katika picha ya pamoja.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *