WARSHA YA MIONGOZO YA HIARI KUHUSU USIMAMIZI BORA WA MILKI ILIOFANYIKA CHALINZE, BAGAMOYO NA CHUO KIKUU ARDHI

WARSHA YA MIONGOZO YA HIARI KUHUSU USIMAMIZI BORA WA MILKI ILIOFANYIKA CHALINZE, BAGAMOYO NA CHUO KIKUU ARDHI

Chuo Kikuu Ardhi chini ya kitengo cha Usimamizi wa Ardhi kimeandaa warsha ya miongozo ya hiari kuhusu usimamizi bora wa milki ambapo walikuwa wakizungumzia maswala ya utawala duni wa milki na utawala bora wa milki. Mafunzo hayo yalifanyika Chalinze, Bagamoyo na Chuo Kikuu Ardhi tarehe 09, 12 na 13 Machi, 2018

IMG_2752Dkt. Hidaya Kayuza akifungua warsha ya miongozo ya hiari kuhusu usimamizi bora wa milki huko Chalinze.

IMG_2747Washiriki wa warsha ya miongozo ya hiari kuhusu usimamizi bora wa milki huko Chalinze.

DSC_0014Wawezeshaji wa warsha ya miongo ya hiari ya kuhusu usimamizi bora wa milki Chuo Kikuu Ardhi iliofanyika tarehe 12 Machi, 2018 (kutoka Dkt. Upendo Matotola, Dkt. Zacharia Ngereja na Dkt. Kerbina Moyo).

DSC_0018Washiriki wa warsha  ya miongo ya hiari ya kuhusu usimamizi bora wa milki Chuo Kikuu Ardhi iliofanyika tarehe 12 Machi, 2018 wakifuatilia mada inayotolewa na mwezeshaji pichani hayupo.

DSC_0061Washiriki wa warsha ya miongo ya hiari ya kuhusu usimamizi bora wa milki Bagamoyo iliofanyika tarehe 13 Machi, 2018 wakifuatilia mada inayotolewa na mwezeshaji pichani hayupo.

DSC_0047Picha ya pamoja mara baada ya kumaliza warsha Chuo Kikuu Ardhi.

DSC_0088Picha ya pamoja mara baada ya kumaliza warsha Bagamoyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *