MKUTANO WA MAKAMU MKUU WA CHUO NA WAFANYAKAZI WOTE CHUO KIKUU ARDHI.

MKUTANO WA MAKAMU MKUU WA CHUO NA WAFANYAKAZI WOTE CHUO KIKUU ARDHI.

Mkutano wa Makamu Mkuu wa Chuo na wafanyakazi wote Chuo Kikuu Ardhi uliofanyika katika uwanja wa Arch plaza tarehe 26.01.2018,Mkutano huo ulikuwa na agenda mbalimbali moja wapo ilikuwa kufanya uchaguzi wa wajumbe wa baraza Chuo Kikuu Ardhi ambapo Mkamu Mkuu wa Chuo aliendesha zoezi hilo.DSC_0957Makamu Mkuu wa Chuo Pro.E.J.Liwa akizungumza na wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi mara baada ya kuanza mkutano huo.

DSC_0962

Baadhi ya wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi wakisikiliza kwa makini wakati wa mkutano

DSC_0973

Mmoja wa wageni kutoka TAKUKURU akitoa maelezo juu wa rushwa na mambo muhimu ya kufahamu katika kuzia rushwa kabla ya zoezi la uchaguzi wa wajumbe wa baraza kuanza.

DSC_0992

Wajumbe waliojitokeza kugombea nafasi hizo upande wa taaluma(Academic staff).

DSC_0988

Baadhi ya wajumbe upande wa utawala wakijinadi kabla ya zoezi la uchaguzi kuanza.

DSC_0961

Baadhi ya wafanyakazi wakifuatilia mkutano.

DSC_0965

DSC_0959

DSC_0982

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *