WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA AZINDUA KITABU KATIKA UFUNGUZI WA SHEREHE ZA KUADHIMISHA MIAKA 10 YA CHUO KIKUU ARDHI

WAZIRI MKUU MHE. MAJALIWA KASSIM MAJALIWA AZINDUA KITABU KATIKA UFUNGUZI WA SHEREHE ZA KUADHIMISHA MIAKA 10 YA CHUO KIKUU ARDHI

0K6A8629Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa (suti ya bluu) alipokuwa akitembelea maonesho yalioandaliwa na Chuo Kikuu Ardhi siku ya Ufunguzi wa Miaka Kumi ya Chuo Kikuu Ardhi, kushoto ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Joyce Ndalichako.

PM NA VIONGOZIWaziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa (wa pili kushoto), Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Prof Joyce Ndalichako (wa nne kushoto), Mkuu wa Chuo, Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya (kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi wakionesha kitabu kilichozinduliwa wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya miaka 10 ya chuo  Kikuu Ardhi  Pamoja nao (wa tatu kushoto) ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo, Tabitha Siwale.

UTEPEWaziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa akikata utepe kuashiria ufunguzi wa maadhimisho ya miaka 10 ya Chuo . Pamoja naye ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Prof Joyce Ndalichako (wa tatu kushoto), Mkuu wa Chuo, Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya (wa nne kushoto), mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi (wa tatu kulia), Mwenyekiti wa Baraza la Chuo, Tabitha Siwale (kushoto), Makamu Mkuu wa Chuo, Prof Evaristo Liwa (kulia) na Rais wa Jumuiya ya Chuo, Haruna Masebu.

ARUWaziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Ardhi Bi. Tabitha Siwale wakifunua kitambaa kuashiria ufunguzi wa maadhimisho ya miaka 10 ya chuo. Kutoka (kwa waziri Mkuu) ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Prof Joyce Nadlichako, Mkuu wa Chuo, Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya, Makamu Mkuu wa Chuo, Prof Evaristo Liwa na Rais wa Jumuiya ya Chuo, Haruna Masebu.

STAFF

STAFF, WAGENI NA WANAFUNZI

STAFF 2Baadhi ya wafanyakazi, wanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi, na wageni waalikwa wakifuatilia hotuba ya Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa hayupo pichani.

PM NA VIONGOZI WALIOPITA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *