CHUO KIKUU ARDHI YAADHIMISHA MAHAFALI YA 11 YA CHUO KIKUU ARDHI

CHUO KIKUU ARDHI YAADHIMISHA MAHAFALI YA 11 YA CHUO KIKUU ARDHI

1T4A1035Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya (mwenye fimbo) akiwaongoza viongozi wa chuo wakati wa mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu Ardhi yaliyohudhurishwa naye jijini Dar es Salaam Disemba 2, 2017.

G10Mbele ni baadhi ya Wahitimu wa Shahada ya Uzamivu ya Chuo Kikuu Ardhi wakifuatilia matukio katika sherehe za mahafali ya 11 ya chuo yaliyohudhurishwa na Mkuu wa Chuo, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya jijini Dar es Salaam Disemba 2, 2017

g1Wahitimu wa shahada ya Uzamili ya Chuo Kikuu Ardhi wakiimba wimbo wa Taifa katika sherehe za mahafali ya 11 ya chuo yaliyohudhurishwa na Mkuu wa Chuo, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya jijini Dar es Salaam Disemba 2, 2017

g2Wahitimu wa shahada ya kwanza ya Chuo Kikuu Ardhi wakiimba wimbo wa Taifa katika sherehe za mahafali ya 11 ya chuo yaliyohudhurishwa na Mkuu wa Chuo, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya jijini Dar es Salaam Disemba 2, 2017

G4Sehemu ya Wahitimu wa Chuo Kikuu Ardhi wakishangilia katika sherehe za mahafali ya 11 ya chuo yaliyohudhurishwa na Mkuu wa Chuo, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya jijini Dar es Salaam Disemba 2, 2017.

1T4A0998Wahitimu wa shahada ya Uzamili ya Chuo Kikuu Ardhi wakifuatilia matukio katika sherehe za mahafali ya 11 ya chuo yaliyohudhurishwa na Mkuu wa Chuo, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya jijini Dar es Salaam Disemba 2, 2017

1T4A0951Wahitimu wa shahada ya kwanza ya Chuo Kikuu Ardhi wakifuatilia matukio katika sherehe za mahafali ya 11 ya chuo yaliyohudhurishwa na Mkuu wa Chuo, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya jijini Dar es Salaam Disemba 2, 2017

G8Baadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia matukio ya mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu Ardhi Disemba2, 2017

G9 Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya (wa tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wafanyakazi wa chuo katika mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu Ardhi katika sherehe za mahafali ya chuo yaliyohudhurishwa naye jijini Dar es Salaam Disemba 2, 2017

 

Leave a Reply

Your email address will not be published.