BONANZA LA MICHEZO CHUO KIKUU ARDHI LA KUADHIMISHA MIAKA KUMI(10) YA CHUO

BONANZA  LA  MICHEZO  CHUO  KIKUU  ARDHI  KATIKA  KUADHIMISHA MIAKA KUMI (10) YA CHUO.

Chuo Kikuu Ardhi wameadhimisha miaka Kumi (10) kwa kuandaa bonanza la michezo lililoshirikisha wafanyakazi wote na wanafunzi hapa Chuoni. Michezo mbalimbali ilifanyika kama mpira wa mguu,mpira wa pete,kufukuza kuku,kuvuta kamba, karata na mingine mingi.Bonanza hilo lilifunguliwa rasmi na Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Evaristo J. Liwa siku ya ijumaa ya tarehe 10/11/2017 katika viwanja vya Chuo.Hili ni moja ya matukio katika kuadhimisha miaka kumi ya Chuo kabla ya ufunguzi rasmi baadae.

DSC_0296Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Evaristo J. Liwa akizungumza jumuiya wa ARU katika viwanja vya Chuo siku hiyo ya Bonanza.

DSC_0158Baadhi wa fanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi wakicheza mchezo wa draft wakati michezo mingine ikiendelea viwanjani hapo.

DSC_0255Timu wa Mpira wa Miguu  wa wafanyakazi upande wa uendeshaji (admistrative staff) kabla ya kuanza shindano kati ya walimu wa Chuo (Academic staff)

 DSC_0212Wafanyakazi (wanawake upande wa waendeshaji) wakijiandaa shindano la kuvuta kamba na walimu.

DSC_0220Washiriki wa mchezo wa kukimbiza kuku wakiwa uwanjani wakikimbiza kuku.

DSC_0290Wafanyakazi wengine wakiendelea kuangalia michezo ikiwa inaendelea.

 DSC_0267Makamu Mkuu wa Chuo akisalimiana na timu wa mpira wa pete kabla ya kuanza mashindano hayo.

DSC_0146

DSC_0183

DSC_0227

DSC_0163

DSC_0195

DSC_0261

DSC_0149

DSC_0192

DSC_0206

DSC_0273

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *