SHIMUTA BONANZA MKOA WA DAR ES SALAAM KUFANYIKA VIWANJA VYA CHUO KIKUU ARDHI.

 SHIMUTA BONANZA MKOA WA DAR ES SALAAM KUFANYIKA VIWANJA VYA CHUO KIKUU ARDHI.

Chuo Kikuu Ardhi kwa kushirikiana na wafanyakazi wengine wa Taasisi za umma wamejumuika pamoja katika viwanja vya Chuo Kikuu Ardhi siku ya Jumamosi tarehe 14/10/2017 kufanya mashindano ya michezo mbalimbali yakiwemo mazoezi ya viungo, mpira wa miguu, mpira wa kikapu, kukimbia kwenye gunia, kukimbiza kuku nk. Kwa lengo la kuzindua SHIMUTA  itakayofanyika mkoani Iringa mwezi Novemba mwaka huu.Taasisi za umma zilizoshiriki ni pamoja na Bodi ya Mikopo,TBS, TPDC, TANESCO, UDSM, NEMC, CBE, IFM n.k. Bonanza hilo lilifunguliwa rasmi na Mkurugenzi wa maendeleo ya michezo Bw.Yusuph Singo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

      1Mkurugenzi wa maendeleo ya michezo Bw.Yusuph Singo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akiongea na washiriki wa Bonanza wakati wa ufunguzi katika viwanja vya Chuo Kikuu Ardhi.2Baadhi ya washiriki wa Shimuta Bonanza wakiwa na wenyeji wao wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi  katika mazoezi ya viungo.4

Timu ya mpira wa pete ya Chuo Kikuu Ardhi wakisubiri mechi dhidi ya UDSM5

Mgeni rasmi akisalimiana na wachezaji wa mpira wa pete kabla ya kuanza bonanza.8Wachezaji wa mpira wa miguu katika mechi zilizokuwa zinaendele a siku ya Bonaza katika viwanja vya Chuo.6

9

IMG_20171014_093321

bona

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *