USHIRIKI WA MAZOEZI YA VIUNGO WAENDELEA KUFANYIKA CHUO KIKUU ARDHI

USHIRIKI WA MAZOEZI YA VIUNGO WAENDELEA KUFANYIKA CHUO KIKUU ARDHI

Chuo Kikuu Ardhi yashiriki mazoezi ya viungo Jumamosi ya pili ya mwezi tarehe 09/09/2017 kwa kuanza na matembezi ya kilomita tatu kuzunguka maeneo ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kurudi viwanja vya Chuo kwa mazoezi ya viungo (Aerobics)

20170909_065445Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Evaristo Liwa (kushoto mwenye koti la dark bluu) akiongoza matembezi maeneo ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam siku ya Jumamosi tarehe 09/09/2017.

20170909_065642-1Baadhi ya wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi wakitembea maeneo ya Chuo Kikuu cha DSM siku ya Jumamosi.

DSC_0094Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi wakifanya mazoezi ya viungo (Aerobics) katika viwanja vya Chuo Kikuu Ardhi.

DSC_0100

DSC_0110Wafanyakazi wakijinyoosha mara baada ya mazoezi ya viungo (Aerobics).

DSC_0123Wafanyakazi na watoto wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mazoezi ya viungo (Aerobics).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *