KUMALIZIKA KWA MAONESHO YA VYUO VIKUU VIWANJA VYA MNAZI MMOJA

KUMALIZIKA KWA MAONESHO YA VYUO VIKUU VIWANJA VYA MNAZI MMOJA

Chuo Kikuu Ardhi kushiriki maonyesho ya Vyuo vikuu mnamo tarehe 26 -29 Julai 2017, katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.

DSC_0023Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma aliyefunga maonesho hayo akisikiliza maelezo kutoka kwa mtaalamu wa Chuo Kikuu Ardhi Bw. Paul Kitosi.

DSC_1031Naibu Makamu Mkuu wa Chuo – Taaluma Prof. Gabriel Kassenga akipokea cheti cha ushiriki wa maonesho ya Vyuo vikuu.

DSC_0018Baadhi ya wanafunzi mbalimbali wakielekezwa jinsi ya kujiunga na chuo kupitia njia ya mtandao.

DSC_1003Wanafunzi wa shule ya msingi Al Hilal iliyopo jijini Dar es Salaam walitembelea banda la Chuo kikuu Ardhi.

DSC_0863Baadhi ya washiriki wa maonesho hayo wakiwa katika banda la Chuo Kikuu Ardhi wakati wa maonyesho hayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *