MAONESHO YA 12 YA TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA

MAONESHO YA 12 YA TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA

DSC_0874Mhadhiri Msaidizi Bw. Paul Kitosi akiwaonyesha baadhi ya kazi zilizofanywa na wanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi wakati wa maonesho ya Tume ya Vyuo Vikuu.

DSC_0888Mtaalamu kutoka kitengo cha Tehama Chuo Kikuu Ardhi Ms. Ermina Massawe akiwaelekeza wanafunzi waliomaliza kidato cha sita jinsi ya kujisajili.

DSC_0894Baadhi ya wanafunzi waliotembelea banda la Chuo Kikuu Ardhi.

DSC_0887

DSC_0871

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *