ZOEZI LA PILI SHIRIKISHI LA KUZUIA MAFURIKO TEMEKE, JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE: 20.7.2017

ZOEZI LA PILI SHIRIKISHI LA KUZUIA MAFURIKO TEMEKE, JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE: 20.7.2017

Chuo Kikuu Ardhi kupitia kituo cha Mafunzo ya Menejimenti ya Maafa (DMTC) kinaendelea na zoezi shirikishi la kuzuia mafuriko na athari zake kwenye kata na mitaa inayozunguka mto Kizinga katika Manispaa ya Temeke, Jijini Dar es salaam. Zoezi hili la pili ni kukusanya takwimu kutoka kwa viongozi wa mitaa na wazawa wa maeneo husika,kwa kushirikiana na wanafunzi wahitimu washahada ya  Uzamili kutoka Chuo Kikuu  Ardhi.

NO 1Mtafiti kutoka Chuo Kikuu Ardhi Dkt. Guido Uhinga akitoa maelezo Juu ya kupata takwimu hizo za maafa kwa washiriki.

NO 2Baadhi ya wanafunzi wahitumu wa Chuo Kikuu Ardhi ambao wanashirikiana katika kufanya tafiti hiyo wakisikiliza maelezo katika zoezi hilo.

NO 3Mmoja wa mkazi mzoefu wa kata hizo akieleza juu ya maafa yanayowakuta katika eneo lao.

NO 4Washiriki wakiwa katika makundi kulingana na kata zao wakijadili juu ya aina mbalimbali ya maafa yanayotokea katika kata zao.

NO 5Washiriki wakijadiliana.

DSC_0721

DSC_0792

DSC_0725

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *