MAZOEZI YA VIUNGO YAENDELEA KUFANYIKA CHUO KIKUU ARDHI

MAZOEZI YA VIUNGO YAENDELEA KUFANYIKA CHUO KIKUU ARDHI

Chuo Kikuu Ardhi yashiriki mazoezi ya viungo Jumamosi ya pili ya mwezi tarehe 08/07/2017 kwa kuanza na matembezi ya kilomita tatu kuzunguka maeneo ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kurudi viwanja vya Chuo kwa mazoezi ya viungo (Aerobics)

DSC_0370Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi katika mazoezi ya viungo (Aerobics).

DSC_0397Wafanyakazi katika mazoezi ya viungo.

DSC_0385

DSC_0412

DSC_0413Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi mara baada ya kumaliza mazoezi ya viungo (Aerobics).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *