ZOEZI SHIRIKISHI LA KUZUIA MAFURIKO TEMEKE, JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE: 20.6.2017

ZOEZI SHIRIKISHI LA KUZUIA MAFURIKO TEMEKE, JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE: 20.6.2017

Chuo Kikuu Ardhi kupitia kituo cha Mafunzo ya Menejimenti ya Maafa (DMTC) kinaendesha zoezi shirikishi la kuzuia mafuriko na athari zake kwenye kata na mitaa inayozunguka mto Kizinga katika Manispaa ya Temeke, Jijini Dar es salaam.zoezi hili linafanyika kwa ushirikiano kati ya Chuo Kkiuu Ardhi, Halmashauri ya Manispaa ya Temeke na Wananchi. Zoezi hili limeanza kwa kutambuliwa kwa watendaji wa mitaa 18 na kata 7 zinazozunguka mto Kizinga.

no1Mratibu wa maafa Manispaa ya Temeke  Bi.Sweetbetha Pascal akitoa utambulisho kwa washiriki na kuwakaribisha katika zoezi hilo ndani ya ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke.

no 2Mkuu wa kitengo cha Maafa Chuo Kikuu Ardhi Prof.Robert Kiunsi akitoa mada juu ya madhumuni na umuhimu wa zoezi hilo kwa viongozi wa serikali za mitaa Manisapaa ya Temeke.

no3Mtafiti kutoka Chuo Kikuu Ardhi  Dkt. Guido Uhinga akionyesha kwa kutumia Mchoro eneo litakalo husika kwenye zoezi hilo.

no 4Mmoja wa waratibu wa zoezi hilo Mr.Benedict Malele akitoa maelezo juu ya mpango kazi na mambo muhimu yanayotarajiwa kufanyika katika zoezi zima.

no 5Baadhi ya washiriki wakifuatilia maelezo kuhusu zoezi zima.

no8Washiriki wa zoezi hilo wakifauatilia mchoro kwa karibu ili kuona maeneo yao husika unavyoonekana katika ramani.

no 6

no 7

no 9

no 10

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *