UONGOZI WA CHUO KIKUU ARDHI CHINI YA MAKAMU MKUU WA CHUO PROF.IDRISSA MSHORO JANA TAREHE 14/6/2017 AMEZUNGUMZA NA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU ARDHI KWA LENGO LA KUWAELEZA MACHACHE JUU YA CHUO NA MUELEKEO WAKE HAPO MBELENI.PIA WANAFUNZI WALIPATA MUDA WAKEELEZA HOJA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI WANAZOZIPATA HAPA CHUONI ILI KUWEZA KUPATA UFUMBUZI WA MAMBO HAYO

UONGOZI WA CHUO KIKUU ARDHI CHINI YA MAKAMU MKUU WA CHUO PROF.IDRISSA MSHORO JANA  TAREHE 14/6/2017 AMEZUNGUMZA NA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU ARDHI KWA LENGO LA KUWAELEZA MACHACHE JUU YA CHUO NA MUELEKEO WAKE HAPO MBELENI. PIA WANAFUNZI WALIPATA MUDA WAKAELEZA HOJA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI WANAZOZIPATA HAPA CHUONI ILI KUWEZA KUPATA UFUMBUZI WA MAMBO HAYO

1Pichani viongozi wa Chuo Kikuu Ardhi wakiwa pamoja na viongozi wa serikali ya wanafunzi mbele ya jukwaa la Arch plaza chuoni.

2Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Idrissa Mshoro (katikati) kushoto ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo – Taaluma Prof. Gabriel Kassenga na kulia ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo – Mipango, Fedha na Utawala Prof. Evaristo Liwa wakisikiliza hoja za wanafunzi.

3Baadhi ya wanafunzi wakisiliza kwa makini hotuba ya Makamu Mkuu wa Chuo Prof Idrissa Mshoro.

4Baadhi ya wafanyakazi wakisikiliza hotuba ya Makamu Mkuu wa Chuo.

5Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Idrissa Mshoro akijibu baadhi ya maswali ya wanafunzi.

6Wanafunzi wakifuatilia majadiliano na uongozi wa Chuo.

7Mmoja wa wanafunzi akiuliza swali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *