WAFANYAKAZI CHUO KIKUU ARDHI WASHIRIKI TENA MAZOEZI YA VIUNGO

WAFANYAKAZI CHUO KIKUU ARDHI WASHIRIKI TENA MAZOEZI YA VIUNGO

Wafanyakazi Chuo Kikuu Ardhi wakiongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Idrissa Mshoro katika mazoezi ya viungo ambayo yalianza na matembezi ya takribani kilomita tatu yalioanzia Chuo Kikuu Ardhi kuzunguka eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Jumamosi ya tarehe 13/05/2017

NO.9Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Idrissa Mshoro(katikati) wakiwa katika matembezi ya kilomita tatu eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

NO.6Mwalimu wa mazoezi akiwafundisha wafanyakazi mazoezi ya viungo katika viwanja vya Chuo Kikuu Ardhi.

NO. 7Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi wakifanya mazoezi ya viungo.

NO. 2Wafanyakazi wakiwajibika siku ya mazoezi.

NO.4

NO. 10Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Idrissa Mshoro akiongea na wafanyakazi pichani hawapo mara baada ya mazoezi ya viungo.

NO. 11Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi wakisikiliza salamu kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo pichani hayupo mara baada ya mazoezi ya viungo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *