CHUO KIKUU ARDHI WASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI TAREHE 01/05/2017

CHUO KIKUU ARDHI WASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI TAREHE 01/05/2017

Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi waungana na wafanyakazi wote duniani kuadhimisha siku ya wafanyakazi ambayo kitaifa imefanyika mkoani Kilimanjaro mgeni rasmi katika maadhimisho hayo alikuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.

Chuo Kikuu Ardhi waliungana na wafanyakazi kutoka mashirika na taasisi mbalimbali mkoani Dar es Salaam kuadhimisha siku ya wafanyakazi katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

20170501_092227Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi wakiingia uwanja wa Uhuru wakati wa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani.


20170501_093431Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi wakipita mbele ya mgeni rasmi na bango likionyesha kauli mbiu isemayo ‘uchumi wa viwanda uzingatie kulinda haki, maslahi na heshima ya mfanyakazi’.

20170501_094452Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi siku ya Mei Mosi

20170501_094801

20170501_085952,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *