UJENZI WA GHARAMA NAFUU WA MAHAKAMA YA BAGAMOYO MKOANI PWANI UNAOSIMAMIWA NA CHUO KIKUU ARDHI WAKAMILIKA

UJENZI WA GHARAMA NAFUU WA MAHAKAMA YA BAGAMOYO MKOANI PWANI UNAOSIMAMIWA NA CHUO KIKUU ARDHI WAKAMILIKA

DSC_0384Jengo la mahakama ya Bagamoyo ambalo limekamilika kwa ujenzi huo wa gharama nafuu.

DSC_0403Jengo la Mahakama ya Bagamoyo likiwa limekamilika.

DSC_0466Baadhi ya vibarua wakikamilisha ufungaji wa court stage ya mahamaka hiyo ya Bagamoyo wakiwa na muhitimu wa Chuo Kikuu Ardhi Bi.Cecilia Kadea ambaye ni mmoja wapo wa msimamizi wa mradi huo.

DSC_0468Vibarua wakiendelea na kazi ndani ya Jengo hilo la mahakama- Bagamoyo.

DSC_0432Baadhi ya vyumba vya jengo hilo la mahakama ya Bagamoyo kwa ndani.

DSC_0433Baadhi ya vyumba vya jengo hilo la mahakama ya Bagamoyo kwa nje.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *