ARU SACCOS YAKABIDHI VITANDA KWA ZAHANATI YA CHUO KIKUU ARDHI 05//4/2017

ARU SACCOS YAKABIDHI VITANDA KWA ZAHANATI YA CHUO KIKUU ARDHI 05//4/2017

DSC_0361Mkuu wa kitengo wa Zahanati Chuo Kikuu Ardhi Dkt.Chubwa akipokea vitanda sita kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa ARU SACCOSS Bi.Mary Mbogo katika jengo la Zahanati ya Chuo.

DSC_0369Baadhi ya wafanyakazi wakishuhudia kupokea vitanda hivyo vilivyotolewa na SACCOSS.

DSC_0381Baadhi ya wafanyakazi wa Zanahati, Utawala na SACCOSS.

DSC_0378Vitanda vilivyo kabidhiwa kwa Zahanati ya Chuo Kikuu ardhi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *