MRADI WA UJENZI WA TEKNOLOJIA YA GHARAMA NAFUU UNAOSIMAMIWA NA CHUO KIKUU ARDHI – MAHAKAMA YA KINYEREZI JIJINI DAR ES SALAAM

MRADI WA UJENZI WA TEKNOLOJIA YA GHARAMA NAFUU UNAOSIMAMIWA NA CHUO KIKUU ARDHI – MAHAKAMA YA KINYEREZI JIJINI DAR ES SALAAM

DSC_0335Jengo la mahakama ya kinyerezi ambalo linalokaribia kukamilika kwa ujenzi huo wa gharama nafuu.

DSC_0343Baadhi ya vibarua wakiendelea na ujenzi wa kuta za mahamaka ya kinyerezi wakiwa na Mhadhiri wa Chuo Kikuu Ardhi Dkt. Daniel Mbisso ambaye ni msiamaizi wa mradi huo.

DSC_0314Vibarua wakiendelea na ujenzi – Kinyerezi jijini Dar es Salaam.

DSC_0318Vibarua wakiendelea na umwagaji wa mchanganyiko wa mchanga, theluji, maji na kemikali aina ya moladi kwaajili ya ujenzi wa kuta za Jengo hilo la mahakama.

DSC_0329Baadhi ya kuta za jengo la mahakama ya Kinyerezi likiwa katika hatua ya kukamilika kwa ujenzi wa kuta hizo ambazo zinatumia teknolojia ya  gharama nafuu.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *