MAHAFALI YA 10 YA CHUO KIKUU ARDHI YALIYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA CHUO TAREHE 03/12/2016

MAHAFALI YA 10 YA CHUO KIKUU ARDHI YALIYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA CHUO TAREHE 03/12/2016

_DSC0241Andamano la wanataaluma wakielekea kwenye uwanja wa mahafali wa Chuo Kikuu Ardhi.

_DSC0264Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi katikati Mheshimiwa Cleopa David Msuya wakati wa Mahafali ya Chuo Kikuu Ardhi.

_DSC0272Wanafunzi wa shahada ya Uzamivu wakati wa mahafali ya Chuo Kikuu Ardhi.

_DSC0269Wanafunzi wa Shahada ya kwanza wa Chuo Kikuu Ardhi wakati wa mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu Ardhi.

DSC_0432Mheshimiwa Mkuu wa Chuo Cleopa David Msuya katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali, Wanataaluma, wafanyakazi waendeshaji na wageni waalikwa mara baada ya kuahirisha Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu Ardhi yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *