SHEREHE YA KUWATUNUKU WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KITAALUMA

SHEREHE YA KUWATUNUKU WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KITAALUMA

Chuo Kikuu Ardhi kimekuwa na utaratibu wa kila mwaka kufanya sherehe za kuwatunuku wanafunzi zawadi na tuzo mbalimbali siku moja kabla ya mahafali ya Chuo, ambapo jumla ya wanafunzi 104 walitunukiwa zawadi na tuzo mbalimbali. Katika sherehe hizo jumla ya wanafunzi wanne kati ya waliofanya vizuri wamepata alama sawa hivyo kuibuka washindi wa jumla kwa mwaka 2016.

MATUKIO YA PICHA WAKATI WA SHEREHE ZA KUWATUNUKU ZAWADI NA TUZO MBALIMBALI SIKU YA IJUMAA TAREHE 02/12/2016

_DSC0792Mmoja kati ya wanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi akipokea Cheti kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Idrissa B. Mshoro wakati  sherehe za kuwatuku zawadi mbalimbali wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo yao.

_DSC0801Baadhi ya wafadhili wa zawadi mbalimbali kwa wanafunzi waliofanya vizuri.

_DSC0886Uongozi wa Chuo na wanafunzi wote waliofanya vizuri kitaaluma wakiwa katika picha ya pamoja.

_DSC0891

_DSC0693

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *