UONGOZI WA CHUO KIKUU ARDHI LEO UMEWAAGA WANAMICHEZO WANAFUNZI WATAKAOSHIRIKI MASHINDANO YA MICHEZO YA AFRIKA MASHARIKI YA VYUO VIKUU VYOTE YATAKAYOFANYIKA NCHINI KENYA.

UONGOZI WA CHUO KIKUU ARDHI LEO UMEWAAGA WANAMICHEZO WANAFUNZI WATAKAOSHIRIKI MASHINDANO YA MICHEZO YA AFRIKA MASHARIKI YA VYUO VIKUU VYOTE YATAKAYOFANYIKA NCHINI KENYA KUANZIA TAREHE 16/12/2016

????????????????????????????????????

Makamu Mkuu wa Chuo Prof.  Idrissa Mshoro akitoa neno fupi kwa wanafunzi wanamichezo wa Chuo Kikuu Ardhi katika ukumbi Council ambao wanakwenda kuipeperusha bendera ya Chuo katika mashindano ya michezo ya vyuo vikuu vya Afrika Mashariki yatakayofanyika nchini Kenya.

????????????????????????????????????

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi Prof. Idrissa Mshoro wa pili kutoka kushoto akisikiliza kwa makini taarifa fupi kutoka kwa mwalimu wa Michezo Bw. Boniface Tamba ambaye pichani hayupo, anayefuata ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo – MFU Prof. Evaristo Liwa na Dkt. Anesi Mahenge. Wa kwanza kushoto ni Rais wa Serikali ya wanafunzi Bw. Erasmus Kiwango.  

????????????????????????????????????

Baadhi ya wanafunzi wa timu ya mpira wa pete ya Chuo Kikuu Ardhi wakifuatilia neno fupi kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Idrissa Mshoro pichani hayupo wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wanafunzi.

????????????????????????????????????

Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Idrissa Mshoro mwenye suti ya dark Blue katika picha ya pamoja na Wafanyakazi, viongozi wa serikali ya wanafunzi na wanamichezo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *