CHUO KIKUU ARDHI CHASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI.
Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi wameshiriki maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yanayofahamika kama Meimosi ambapo mkoani Dar es Salaam shamrashamra hizo zilifanyika katika Uwanja wa Uhuru. Maadhimisho hayo yaliyokuwa na Kauli mbiu “Tanzania ya Uchumi wa kati inawezekana, wakati wa mishahara na maslahi bora kwa wafanyakazi ni sasa” yalihudhuriwa na wafanyakazi kutoka Taasisi na Asasi mbalimbali zilizopo jijini ambapo Mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda.
Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi wakijipanga kuanza maandamano ya Meimosi
Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi wakisubiri kuanza maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Duniani
Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi wakisubiri maandamano
Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi wakiwa nje ya Uwanja wa Uhuru
Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi wakiwa kwenye maandamano ya Meimosi
Wafanyakazi wakipita mbele ya Mgeni Rasmi Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi wakisikiliza kwa makini hotuba ya mgeni rasmi.