WAKUU WA IDARA, WATENDAJI NA WAJUMBE WA KAMATI WAFAIDIKA NA MAFUNZO YA UELEWA WA MAAFA NA JITIHADA ZA KUYAPUNGUZA

WAKUU WA IDARA, WATENDAJI NA WAJUMBE WA KAMATI WAFAIDIKA NA MAFUNZO YA UELEWA WA MAAFA NA JITIHADA ZA KUYAPUNGUZA

Wakuu wa Idara, watendaji na wajumbe wa kamati ya maafa jijini Tanga wapewa mafunzo ya uelewa wa maafa na jitihada za kuyapunguza katika ngazi ya Halmashauri ya jiji la Tanga.

1Naibu Makamu Mkuu wa Chuo -Taaluma Prof. Gabriel Kassenga akitoa utangulizi kuhusu mafunzo ya uelewa wa maafa na jitihada za kuyapunguza katika ngazi ya Halmashauri.

2Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya uelewa wa maafa na jitihada za kuyapunguza katika ngazi ya Halmashauri wakisikiliza utangulizi kutoka kwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo -Taaluma Prof. Gabriel Kassenga .

3Dkt. Joseph Mayunga akiwasilisha mada ya uelewa kuhusu dhana ya maafa katika halmashauri ya jiji la Tanga kwa Wakuu wa Idara, Watendaji na Wajumbe wa Kamati ya Maafa.

5Bi. Catherine Marimbo kutoka Idara ya Uratibu na Maafa, Ofisi ya Waziri Mkuu akitoa mada ya Muundo wa Kisera, Sheria, Taratibu na miongozo kuhusu Menejimenti ya Maafa Tanzania katika ngazi ya Taifa mpaka Vijiji.

6Dkt. Benedict Malele akifundisha miongozo na jitihada mbalimbali za kupambana/kupunguza Maafa katika Dunia.

4 aBaadhi ya washiriki wa mafunzo  katika ngazi ya Halmashauri wakifuatilia mada ya miongozo na jitihada mbalimbali za kupambana/kupunguza Maafa katika Dunia iliotolewa na Dkt. Benedict Malele (pichani Hayupo).

7Bw. Kato Augustine Mratibu wa Maafa Wilaya akishukuru kwaajili ya mafunzo.

8Afisa Mazingira wa Mkoa Bw. Kizito Nkwabi akitoa neno la shukrani kabla ya kufunga mafunzo hayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published.