WANAWAKE CHUO KIKUU ARDHI WAADHIMISHA SIKU YAO KWA KUWASHIKA MKONO WATOTO WENYE SARATANI DAR

WANAWAKE CHUO KIKUU ARDHI WAADHIMISHA SIKU YAO KWA KUWASHIKA MKONO WATOTO WENYE SARATANI DAR

1T4A4826Sehemu ya Wanawake wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) wakishiriki maandamano katika siku ya maadhimisho ya wanawake duniani. Maandamano yalianzia Chuoni hapo na kuhitimishwa eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam.

ARU+ANDAMANA Sehemu ya Wanawake wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) wakishiriki maandamano katika siku ya maadhimisho ya wanawake duniani. Maandamano yalianzia Chuoni hapo na kumalizikia eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam.

ARU+COURSE

ARU+WOMEN1Baadhi ya Wanawake wa Tawi la Chama cha wafanyakazi wa Elimu ya juu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) wakipita mbele ya jukwaa wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yaliyohitimishwa katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kushoto meza ni Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mhe. Sarah Msafiri na viongozi mbalimbali. 

ARU+FOLLOWSehemu ya Wanawake wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) wakifuatilia matukio mbalimbali katika ukumbi wa Mlimani City  wakati wa maadhimisho hayo jijini Dar es Salaam.

ARU+MLIMANI

ARU+MNHBaadhi ya Wanawake wa Tawi la Chama cha wafanyakazi wa Elimu ya juu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) wakiwa wamebeba dawa na mahitaji muhimu ya kibinadamu walipowasili katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kutoa msaada kwa watoto wenye saratani jijini Dar es Salaam Machi 9 2019. 

MSAADA+ARUMwenyekiti wa Kamati ya Wanawake wa Tawi la Chama cha wafanyakazi wa Elimu ya juu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Dkt. Kerbina Moyo (wa pili kushoto) na Mhazini Grace Makoba (kushoto) wakimkabidhi Peter Massawe, Mwakilishi wa wagonjwa wanaotibiwa kwenye wodi ya watoto wenye saratani katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), sehemu ya msaada wa dawa na mahitaji muhimu ya kibinadamu jijini Dar es Salaam Machi 9 2019. Pamoja nao (wa pili kulia) ni Kaimu Msimamizi mkuu wa Wodi hiyo, Ephraim Kiswaga.

Leave a Reply

Your email address will not be published.