MAHAFALI YA 12 YA CHUO KIKUU ARDHI (ARU) YAFANA

MAHAFALI YA 12 YA CHUO KIKUU ARDHI (ARU) YAFANA

GR6Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi, Profesa Evaristo Liwa akimkaribisha Mkuu wa Chuo, Mhe. Cleopa David Msuya katika mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu Ardhi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam tarehe 1 Disemba 2018. Kulia ni Mwenyekiti Mpya wa Baraza la Chuo, Balozi Prof. Costa Mahalu na viongozi waandamizi wa ARU. 

GR2Bendi ya polisi ikitumbuiza wakati wa mahafali hayo jijini Dar es Salaam. 

MAHALUUMwenyekiti Mpya wa Baraza la Chuo, Balozi Prof. Costa Mahalu akitoa hotuba yake wakati wa  mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu Ardhi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam tarehe 1 Disemba  2018. Jumla ya wahitimu 974 wa shahada mbalimbali walitunukiwa stahili zao.

GR4Baadhi ya wanafunzi wa Shahada ya Uzamili wakifuatilia hotuba ya Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Ardhi Prof. Costa Mahalu pichani hayupo wakati wa Mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu Ardhi.

GR5Kijana Raymond Hamisi Maulid mwanafunzi mwenye ulemavu wa viungo aliehitimu digrii ya Sayansi ya Uhasibu na Fedha akielekea kukaa tayari kwa kutunukiwa shahada yake katika mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu Ardhi.

GR7Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi, Mhe. Cleopa David Msuya akimtunuku Alananga Samweli Sanga Digrii ya uzamivu (Doctor of Philosophy) ya Chuo Kikuu Ardhi wakati wa mahafali ya 12 yaliyofanyika jijini Dar es Salaam tarehe 1 Disemba 2018.

WAALIMUSehemu ya wahadhiri wa Chuo Kikuu Ardhi wakifuatilia mahafali hayo.

gr8Sehemu ya wahitimu wa shahada ya kwanza wakifurahi baada ya kutunukiwa stahili zao. 

gr9

GR10

GR+1

GRADU+TENASehemu ya wageni na ndugu wa wahitimu wakifuatilia matukio katika mahafali hayo. 

MOGRA

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *