MAFUNZO YA VYUO VIKUU 12 VYA AFRIKA KUHUSU MBINU NA NAMNA YA KUTATHMINI ATHARI ZITOKANAZO NA MAAFA CHUO KIKUU ARDHI KUKAMILIKA.

MAFUNZO  YA VYUO VIKUU 12 VYA AFRIKA KUHUSU MBINU NA NAMNA YA KUTATHMINI ATHARI ZITOKANAZO NA MAAFA KUKAMILIKA CHUO KIKUU ARDHI.

1

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi-Taaluma  Profesa Gabriel  Kassenga akiongea machache wakati wa kufunga  kozi ya wiki mbili ya  kimataifa kuhusu maafa inayofanyika Chuo Kikuu Ardhi ikiwalenga wanafunzi wa shahada za juu na watendaji wa taasisi za kiserikali, binafsi na mashirika ya kimataifa. Washiriki kutoka nchi 12 za Afrika na Mpango wa Chakula Duniani (WFP). Wakufunzi wa kozi walitoka Vyuo Vikuu vya Afrika vinavyounda mwamvuli wa Periperi U, UNDP na WHO. Kozi  iliyofadhiliwa na UNDP, USAID/OFDA, WHO na WFP.
22222

Muwakilishi kutoka UNDP  (United Nations Development Programme) Cecilia Aipira akiwa darasani.

2

Mmoja wa washiriki Grace Ohene Amponsah kutoka Chuo Kikuu Ghana(Ghana University), akitoa neno la shukrani katika siku ya kufunga mafunzo hayo.

4

Muwakilishi wa Periperi U, Prof. Chris Garimori Orach kutoka  Chuo Kikuu cha Makerere akizungumza machache juu ya mafunzo hayo kwa washiriki.8

Bi. Inger Harber akitoa maelekezo mafupi mara baada ya mafunzo hayo kuisha akiwa kama muandaaji wa taratibu za mafunzo hayo.10

Sehemu ya washiriki wa mafunzo hayo .11

18

7

Mshiriki akipokea cheti cha mafunzo baada ya kuhitimu.

5

17

15

Dkt. Ngoy Nsenga kutoka Word Health Organisation(WHO) akizungumza machache wakati wa  kufunga mafunzo hayo.

19

12

13

20

IMG_3051

9

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *