MAFUNZO KWA VITENDO WANAFUNZI CHUO KIKUU ARDHI

MAFUNZO KWA VITENDO WANAFUNZI CHUO KIKUU ARDHI

Ili kuhakikisha wahitimu wa Chuo Kikuu Ardhi wanakidhi  ubora kwenye soko la ajira, Chuo Kikuu Ardhi kimeendelea kuwapatia  wanafunzi wake  ujuzi zaidi wa masomo kwa vitendo kwa kushiriki kwenye fursa ya kufanya kazi (Industrial Training) kwenye maeneo mbalimbali nchini kulingana na weledi (Professionalism) husika wa Wanafunzi.

Pichani ni wanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi wakiwa katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, kampuni ya Land General Planning Limited Bagamoyo na Wakala wa Majengo Tanzania mjini Dodoma.

1aWanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi wakifanya kazi katika halmashauri ya Wilaya Manispaa ya Morogoro.

2bSamuel Mkoko Mthamini katika Manispaa ya Morogoro akiwaelekeza jambo wanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi.

3cWanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi wakifanya kazi katika Manispaa ya Morogoro.

4dWanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi wakipiga picha kiwanja cha mteja maeneo ya Lukobe mkoani Morogoro kwaajili ya uthaminishaji.

5eLilian Odongo mwanafunzi wa mwaka wa pili wa Chuo Kikuu Ardhi akimuhudumia mteja katika Manispaa ya Morogoro.

6fNelly Babere mhadhiri Chuo Kikuu mara baada ya kufika kuwakagua wanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi waliokuwa katika kampuni ya Land General Planning Limited Wilayani Bagamoyo.

7g

8hKatemi Peter Methsela Meneja Mradi wa Land General Planning Limited iliyoko Bagamoyo akiwaelekeza kazi wanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi.

9j

10hWanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi wakiweka alama kwaajili ya kusimika mawe maeneo ya Kilemela wilayani Bagamoyo.

11Kongo Lameck Simon alieinama mwanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi akisimika jiwe katika kiwanja.

12hMalekela Kimata mhadhiri Chuo Kikuu Ardhi akiwakagua wanafunzi wake walikuwa katika mafunzo kwa vitendo mkoani Dodoma maeneo ya Chedengwa katika ujenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

13hWanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi wakiwa katika jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

14h

15hOfisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi mjini Dodoma maeneo ya Chedengwa ambapo wanafunzi wetu wameshiriki katika ujenzi wakiwa katika mafunzo kwa Vitendo.

17h

18hWanafunzi wa ChuoKikuu Ardhi katika picha ya pamoja mjini Dodoma maeneo ya Chedengwa.

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published.