CHUO KIKUU ARDHI CHAANZA KUTUMIA NDEGE TIARA (DRONE) KATIKA MASUALA YA UPIMAJI NA RAMANI

CHUO KIKUU ARDHI CHAANZA KUTUMIA NDEGE TIARA (DRONE) KATIKA MASUALA YA UPIMAJI NA RAMANI

3Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Evaristo Liwa ,akitoa maelezo mafupi juu ya ndege tiara (drone) katika viwanja vya Chuo Kikuu Ardhi , wakati wa uzinduzi wa ndege hiyo itakayo kuwa inakusanya taarifa katika masuala ya upimaji na  ramani. (mnamo 12, Septemba 2018)

7Wataalamu kutoka Chuo Kikuu Ardhi pamoja na mmoja wa mwakilishi kutoka nchini China wakiifunga njia fupi kwaajili ya kurusha ndege hiyo wakati wa uzinduzi Chuoni hapo.

1T4A1797Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Evalisto Liwa akizungumza machache na washirika kutoka kampuni ya China TOPRS Tech Limited .

6Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Evaristo Liwa akitoa ufafanuzi juu ya vifaa vinavyotumika kusoma alama mbalimbali na muelekeo wa ndege hiyo inapokuwa angani.

11

8Baadhi ya wataalumu wa Chuo Kikuu Ardhi wakiwa wamebeba kifaa kimojawapo kinachotumika mara baada ya ndege tiara (drone) kushika.9

Sehemu ya wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi na wageni mbalimbali wakija kushuhudia uzinduzi wa ndege tiara(drone)

5

1T4A1780

1T4A1839

1T4A1810

1T4A1782

1T4A1934

Leave a Reply

Your email address will not be published.