WAZIRI WA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA AFUNGUA MAONESHO YA 13 YA VYUO VYA ELIMU YA JUU

WAZIRI WA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA AFUNGUA MAONESHO YA 13 YA VYUO VYA ELIMU YA JUU

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amefungua maonesho ya 13 ya vyuo vya elimu ya juu ambapo pia Chuo Kikuu Ardhi ni moja ya vyuo vikuu vinavyoshiriki maonesho hayo.

7

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi Prof. Evaristo Liwa akimuelezea Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako mara baada ya kutembelea banda la Chuo Kikuu Ardhi katika maonesho ya 13 ya Vyuo Vikuu kushoto ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo – Taaluma Prof. Gabriel Kassenga.

8

Prof. Joyce Ndalichako Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia akiongea na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi Prof. Evaristo Liwa.

17

Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania Prof. Charles Kihampa akipata maelezo kutoka Chuo Kikuu Ardhi katika Maonesho ya 13 ya Vyuo Vikuu.

12

Baadhi ya watu waliotmbelea banda la Chuo Kikuu Ardhi wakipata maelezo juu ya kozi mbalimbali zinazotolewa na Chuo Kikuu Ardhi katika maonesho ya 13 ya Vyuo Vikuu yanayofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja.

9

Mmoja kati ya wanafunzi waliotembelea banda la Chuo Kikuu Ardhi akisajiliwa na Mchambuzi wa Mifumo ya Kompyuta kutoka Chuo Kikuu Ardhi Bi. Editha Temu

15

16

Leave a Reply

Your email address will not be published.