UTAFITI NA UBUNIFU CHUO KIKUU ARDHI

UTAFITI NA UBUNIFU CHUO KIKUU ARDHI.

Kutana na mwanafunzi  Judith Maduhu mwanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi kutoka skuli ya Sayansi ya Mazingira na Teknolojia wa mwaka wa nne,amefanya utafiti unaohusu usindikaji wa taka ngumu (Recycling process) ametumia taka za karatasi au karatasi taka na magugu maji yanayopatikana ziwani na kwenye mabonde ya maji ambayo yamekuwa changamoto sana kutokana na athari zake katika mazingira.

1

Judith Maduhu Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi akiwa katika jengo la kufanya tafiti kwa vitendo. (Experimental hall).

2

Judith Maduhu akichanganya vipande vya karatasi na majani aina ya magugu maji.

4

Judith akiwa na mwanafunzi mwenzake Iman Balaam wakisadiana kuandaa vifaa hivyo.

3

Aina ya majani yanayojulikana kwa jina la magugu maji anayotumia kutengeneza bidhaa i hizo.

5

Baadhi ya bidhaa zinazotokana na karatasi ba magugu maji yakiwa katika muonekano tofuati,kama kadi,flem za picha,mifuko midogo ya karatasi nk.

6

Jengo la Chuo Kikuu Ardhi linalofahamika kwa jina la Experimental Hall.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *