CHUO KIKUU ARDHI CHAWASILISHA MATOKEO YA UTAFITI NA NINI KIFANYIKE KUPUNGUZA ATHARI NA MAJANGA KATIKA MAENEO YA BONDE LA MTO KIZINGA

CHUO KIKUU ARDHI CHAWASILISHA MATOKEO YA UTAFITI NA NINI KIFANYIKE KUPUNGUZA ATHARI NA MAJANGA KATIKA MAENEO YA BONDE LA MTO KIZINGA

IMG_1170Kaimu Mkurugenzi Manispaa ya Temeke Eng. Primy Damas akifungua warsha ya matokeo ya utafiti yaliofanya na Chuo Kikuu Ardhi katika Bonde la mto Kizinga.

IMG_1165Washiriki wa zoezi shirikishi la Tathmini la Majanga na hatari ya Maafa Maeneo ya Bonde La Mto Kizinga, Manispaa Ya Temeke, Dar es Salaam.

IMG_1172Watafiti kutoka Chuo Kikuu Ardhi wakisiliza hotuba fupi kutoka kwa kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke pichani hayupo.

IMG_20180620_101437Mtafiti kutoka Chuo Kikuu Ardhi Dkt. Guido Uhinga akiwasilisha matokeo ya Majanga na hatari ya Maafa Maeneo ya Bonde La Mto Kizinga, Manispaa Ya Temeke, Dar es Salaam.

pichaMratibu wa Maafa Bi. Sweetbertha Paschal na Afisa Elimu Sekondari Bw. Donald Chavila Manispaa ya Temeke wakifuatilia uwasilishaji wa matokeo ya Majanga na hatari ya Maafa Maeneo ya Bonde La Mto Kizinga, Manispaa Ya Temeke, Dar es Salaam.

IMG_20180620_115126Baadhi ya washiriki wakiwa kwenye kazi ya vikundi mara baada ya uwasilishwaji wa matokeo ya utafiti na mtafiti kutoka Chuo Kikuu Ardhi.

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *