USHIRIKI WA MAZOEZI YA VIUNGO WAENDELEA KUFANYIKA CHUO KIKUU ARDHI

USHIRIKI WA MAZOEZI YA VIUNGO WAENDELEA KUFANYIKA CHUO KIKUU ARDHI

Chuo Kikuu Ardhi yashiriki mazoezi ya viungo Jumamosi ya pili ya mwezi tarehe 09/06/2018 kwa kuanza na matembezi ya kilomita tatu kuzunguka maeneo ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kurudi viwanja vya Chuo kwa mazoezi ya viungo (Aerobics). Mazoezi hayo yaliwashirikisha wafanyakazi na wanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi.

1

Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Evaristo Liwa (kushoto) akiwa na baadhi ya wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi katika mazoezi ya viungo

2

Wafanyaki wa Chuo Kikuu Ardhi wakielekea kwenye matembezi ya km 3 kabla ya mazoezi ya viungo kuanza.

3

Mazoezi katika viwanja vya Chuo Kikuu Ardhi

5

Mwaliku kutoka idara ya Michezo ya Chuo Kikuu Ardhi Bw. Aladin Hoka akizungumza na wafanyakazi na wanafunzi walioshiriki mazoezi mara baada ya mazoezi kuisha.

GKYO3452

Washiriki wa mazoezi pamoja na wanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi

6

Washiriki wakiendelea na mazoezi

IMG_0997

Mazoezi ya viungo katika viwanja vya Chuo.

CWLI4148

PYHG8747

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *