SEMINA YA UELIMISHAJI KWA MAKATIBU MUHTASI (SECRETARIES) CHUO KIKUU ARDHI.

SEMINA YA UELIMISHAJI KWA MAKATIBU MUHTASI (SECRETARIES)  CHUO KIKUU ARDHI.

Idara ya rasilimali watu Chuo Kikuu Ardhi wameandaa semina kwa makatibu muhutasi wa Chuo Kikuu Ardhi kwa lengo la kuwaelimisha na kuwakumbusha majukumu yao kazini kwa kuwapa uelewa katika kazi.Masomo mbalimbali yaliendeshwa siku ya semina hiyo kama maadili ya utumishi wa umma,huduma kwa mteja,matumizi mazuri ya muda na jinsia .Semina hiyo ilifunguliwa rasmi na Mkurugenzi ya kitengo hicho Bw. Esau Swilla katika ukumbi wa Chuo siku ya jumamosi ya tarehe 9/6/2018.Waliudhuria ni makatibu muhtasi wote kutoka idara, skuli na vitengo vyote vya Chuo.

1

Mkurugenzi wa idara ya rasilimali watu Bw. E.Swilla akifungua rasmi semina hiyo

2

Viongozi wa idara ya rasilimali watu wa Chuo Kikuu Ardhi wakati wa semina

3

Baadhi ya washiriki wa semina

4

Washiriki kutoka skuli na idara mbalimblai wa Chuo Kikuu Ardhi wakufuatilia mada

5

Washirki wakiwa katika semina

7

Washiriki

8

Moja ya mtoa mada Bi. Agatha Wanderage akiwa darasani.

10

Washiriki wakifuatilia mada zilizokuwa zinaendelea kutolewa

11

Washiriki

IMG_1052

Mkuu wa idara  Bi. Ann Mushi akifafanua jambo wakati wa semina.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *