SEMINA YA UKIMWI KUFANYIKA CHUO KIKUU ARDHI

SEMINA YA UKIMWI KUFANYIKA CHUO KIKUU ARDHI.

Chuo Kikuu Ardhi kupitia  zahanati ya Chuo wameandaa  mafunzo juu ya ugonjwa wa UKIMWI kwa wafanyakazi wote kwa lengo la  kuwaelimisha juu ya magonjwa hatarishi na jinsi ya kujikinga katika maeneo yao ya kazi ili kuweza kufanya  kazi kwa ufanisi wakiwa katika afya njema. Semina hiyo imefanyika siku ya jumatano tarehe 06/06/2018 katika ukumbi wa IHSS na kufunguliwa rasmi na Mkurugenzi wa rasilimali watu Mr. Esau Swilla ambaye alimuwakilisha Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Mipango Fedha na Utawala Prof. Robert Kiunsi.

2

Mkuu wa Idara ya Zahanati Dkt. Edward Chubwa akiwakaribisha wafanyakazi katika semina ya UKIMWI.

1

Mkuu wa kitengo cha Rasilimali watu Mr. E. Swilla akizungumza na wafanyakazi kabla ya semina kuanza.

8

Baadhi ya washirki wa semina wakisikiliza kwa makini mafunzo hayo.

3

Mkuu wa kitengo cha Jinsia Dkt. Isabela Mtani akitoa mada juu ya jinsia kazini.

7

Washiriki wakiwa katika mafunzo.

IMG_0877

Muuguzi Mkuu wa Zahanati ya Chuo Bi. Jane Sekimweri akitoa mada juu maambukizo ya magonjwa hatarishi.

6

Washiriki wakifuatilia mafunzo.

IMG_0844

Washiriki.

IMG_0862

IMG_0873

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *