CHUO KIKUU ARDHI CHATOA ELIMU KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI DAR ES SALAAM

CHUO KIKUU ARDHI CHATOA ELIMU KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI DAR ES SALAAM

Chuo Kikuu Ardhi kwa kushirikiana kitengo cha mahusiano na habari cha Chuo Kikuu Ardhi wamefanya maonyesho katika shule ya sekondari Tambaza jijini Dar es salaam kwa lengo la kuwapa muongozo namna ya kujiunga na masomo ya elimu ya juu na ufaulu wake.Maonesho hayo yalishirikisha shule mbalimbali zilizokaribu kwa kuwaalika wanafunzi hao watembelee mabanda hayo na kupata maelezo stahiki yanayohusu Chuo Kikuu Ardhi kwa Ujumla wake.Maonesho hayo yalifanyika siku ya jumamosi ya tarehe 26/05/2018.


Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Reginald Chetto akiwapa maelezo wanafunzi wa shule ya Sekondari Zanaki waliposhiriki programu hiyo.

Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Gervas Jonas akiwapa maelezo wanafunzi wa Sekondari walipotembelea moja ya banda la ARU kujionea na kupata ufafanuzi wa programu.

 

Msaidizi wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Mbokani Gama akiwapa maelezo wanafunzi wa shule ya Sekondari Azania waliposhiriki maonesho.

 

 

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Bi. Hadija Mualid akiwa katika ya wanafunzi akiwaleza jambo wanafunzi hao.

 
 

Wanafunzi wakisoma vipeperushi

 

 
 


 
 
 
 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *