WANAFUNZI WA CHUO KIKUU ARDHI KUSHIRIKI WARSHA JIJINI DODOMA

WANAFUNZI WA CHUO KIKUU ARDHI KUSHIRIKI WARSHA JIJINI DODOMA

Baadhi ya wanafunzi kutoka Skuli ya Ubunifu Majengo,Usimamizi na Uchumi Ujenzi wa Chuo Kikuu Ardhi wameshiriki katika warsha ya elimu endelevu ya wataalamu wa ubunifu majengo na wakadariaji wa majenzi iliyo iliyoandaliwa na bodi ya usanifu majengo na ukadiriaji majenzi (AQRB) katika ukumbi wa Treasure square Dodoma,Tarehe 18-19 Mei 2018,Warsha hii ilizinduliwa na Mhe. Majaliwa Kassim Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Tanzania.

BNZP7007

Mhe. Majaliwa Kassim akisikiliza maelezo kutoka kwa Frola Mlagala mwanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi kutoka (SACEM) mara alipotembelea banda la maonyesho la Chuo kikuu Ardhi.

NSWZ4045

Abel Shumashike mmoja wa wanafunzi walioshiriki warsha hiyo akiendelea kutoa maelezo katika banda la Chuo Kikuu Ardhi.

FITV4840

Banda la Chuo Kikuu Ardhi katika maonyesho hayo.

DHTK3974

GPVM6055

FRTD6524

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *