MAKABIDHIANO YA UONGOZI MPYA WA SERIKALI YA WANAFUNZI (ARUSO) CHUO KIKUU ARDHI

MAKABIDHIANO YA UONGOZI MPYA WA SERIKALI YA WANAFUNZI (ARUSO) CHUO KIKUU ARDHI.

Serikali ya wanafunzi (ARUSO) Chuo Kikuu Ardhi ya mwaka 2017/2018 imekabidhi madaraka kwa uongozi mpya ulioingia madarakani 2018/2019 Chuoni hapo mnamo tarehe 8/5/2018.Hafla hiyo imehudhuriwa na Uongozi wa Chuo Kikuu Ardhi kwa kuongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Evaristo. J. Liwa katika ukumbi wa IHSS.

IMG_0112

Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Evaristo .J. Liwa akizungumza na uongozi  mpya wa serikali ya wanafunzi.

IMG_0105

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo-Mipango Fedha na Utawala Prof.  Robert Kiunsi akitoa neno siku ya  makabidhiano ya uongozi mpya wa serikiali ya wanafunzi.(ARUSO)

IMG_0065

Rais Mstaafu wa serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu Ardhi Bw. Gasper Temba akitoa neno la shukrani.

IMG_0083

Uongozi uliopita wakikabidhiana nyaraka za ofisi kutoka kwa wanaotoka madarakani.

IMG_0088

Viongozi walipita na wanaoinga madarakani wakati wa makabidhiano.

IMG_0084

Picha ya pamoja ya viongozi wapya walioingia madarakani (ARUSO)

IMG_0043

Baadhi ya wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi walishiriki hafla hiyo.IMG_0047Washiriki wakisiliza kwa makini IMG_0039

IMG_0046

IMG_0080

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *