WAFANYAKAZI NA WANAFUNZI WANAMICHEZO WA CHUO KIKUU ARDHI WAKABIDHI VIKOMBE VYA USHINDI KWA MAKAMU MKUU WA CHUO

WAFANYAKAZI NA WANAFUNZI WANAMICHEZO WA CHUO KIKUU ARDHI WAKABIDHI VIKOMBE VYA USHINDI KWA MAKAMU MKUU WA CHUO

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi Prof. Evaristo Liwa amepokea vikombe vya ushindi na vyeti vya ushiriki kutoka kwa wafanyakazi na wanafunzi walioshiriki mashindano mbalimbali ya kimichezo. Makabidhiano hayo yamefanyika katika hafla fupi iliyoandaliwa na ofisi ya Mshauri wa Wanafunzi siku ya tarehe 08/02/2019 katika ukumbi wa  DMTC wa Chuo Kikuu Ardhi na kuhudhuriwa na viongozi waandamizi wa chuo pamoja na wanamichezo.

Chuo Kikuu Ardhi kimeshiriki Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Mashirika ya Umma na Makampuni binafsi Tanzania (SHIMUTA) na pia kimeshiriki mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Vyuo Vikuu Afrika Mashariki (EAUG) yanayokutanisha vyuo vikuu vya Afrika Mashariki na kushinda michezo mbalimbali.

1Mshauri wa Wanafunzi Bi. Amina Mdidi akitoa utambulisho katika hafla fupi ya kukabidhi vikombe vya ushindi na vyeti vya ushiriki kushoto ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Mipango, Fedha na Utawala Prof. Carolyne Nombo. Continue reading WAFANYAKAZI NA WANAFUNZI WANAMICHEZO WA CHUO KIKUU ARDHI WAKABIDHI VIKOMBE VYA USHINDI KWA MAKAMU MKUU WA CHUO