USHIRIKI WA MAZOEZI YA VIUNGO WAENDELEA KUFANYIKA CHUO KIKUU ARDHI

USHIRIKI WA MAZOEZI YA VIUNGO WAENDELEA KUFANYIKA CHUO KIKUU ARDHI

Chuo Kikuu Ardhi yashiriki mazoezi ya viungo Jumamosi ya pili ya mwezi tarehe 09/09/2017 kwa kuanza na matembezi ya kilomita tatu kuzunguka maeneo ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kurudi viwanja vya Chuo kwa mazoezi ya viungo (Aerobics)

20170909_065445Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Evaristo Liwa (kushoto mwenye koti la dark bluu) akiongoza matembezi maeneo ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam siku ya Jumamosi tarehe 09/09/2017. Continue reading USHIRIKI WA MAZOEZI YA VIUNGO WAENDELEA KUFANYIKA CHUO KIKUU ARDHI