ZOEZI LA PILI SHIRIKISHI LA KUZUIA MAFURIKO TEMEKE, JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE: 20.7.2017

ZOEZI LA PILI SHIRIKISHI LA KUZUIA MAFURIKO TEMEKE, JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE: 20.7.2017

Chuo Kikuu Ardhi kupitia kituo cha Mafunzo ya Menejimenti ya Maafa (DMTC) kinaendelea na zoezi shirikishi la kuzuia mafuriko na athari zake kwenye kata na mitaa inayozunguka mto Kizinga katika Manispaa ya Temeke, Jijini Dar es salaam. Zoezi hili la pili ni kukusanya takwimu kutoka kwa viongozi wa mitaa na wazawa wa maeneo husika,kwa kushirikiana na wanafunzi wahitimu washahada ya  Uzamili kutoka Chuo Kikuu  Ardhi.

NO 1Mtafiti kutoka Chuo Kikuu Ardhi Dkt. Guido Uhinga akitoa maelezo Juu ya kupata takwimu hizo za maafa kwa washiriki. Continue reading ZOEZI LA PILI SHIRIKISHI LA KUZUIA MAFURIKO TEMEKE, JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE: 20.7.2017