MAZOEZI YA VIUNGO YAENDELEA KUFANYIKA CHUO KIKUU ARDHI

MAZOEZI YA VIUNGO YAENDELEA KUFANYIKA CHUO KIKUU ARDHI

Chuo Kikuu Ardhi yashiriki mazoezi ya viungo Jumamosi ya pili ya mwezi tarehe 08/07/2017 kwa kuanza na matembezi ya kilomita tatu kuzunguka maeneo ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kurudi viwanja vya Chuo kwa mazoezi ya viungo (Aerobics)

DSC_0370Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi katika mazoezi ya viungo (Aerobics). Continue reading MAZOEZI YA VIUNGO YAENDELEA KUFANYIKA CHUO KIKUU ARDHI