ZOEZI SHIRIKISHI LA KUZUIA MAFURIKO TEMEKE, JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE: 20.6.2017

ZOEZI SHIRIKISHI LA KUZUIA MAFURIKO TEMEKE, JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE: 20.6.2017

Chuo Kikuu Ardhi kupitia kituo cha Mafunzo ya Menejimenti ya Maafa (DMTC) kinaendesha zoezi shirikishi la kuzuia mafuriko na athari zake kwenye kata na mitaa inayozunguka mto Kizinga katika Manispaa ya Temeke, Jijini Dar es salaam.zoezi hili linafanyika kwa ushirikiano kati ya Chuo Kkiuu Ardhi, Halmashauri ya Manispaa ya Temeke na Wananchi. Zoezi hili limeanza kwa kutambuliwa kwa watendaji wa mitaa 18 na kata 7 zinazozunguka mto Kizinga.

no1Mratibu wa maafa Manispaa ya Temeke  Bi.Sweetbetha Pascal akitoa utambulisho kwa washiriki na kuwakaribisha katika zoezi hilo ndani ya ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke. Continue reading ZOEZI SHIRIKISHI LA KUZUIA MAFURIKO TEMEKE, JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE: 20.6.2017